The Bible Software
bible.software1 Chronicles1 Chronicles 8 › 1 Chronicles 8:40

1 Chronicles 8:40

Wana wa Ulamu walikuwa mashujaa hodari walioweza kutumia upinde. Alikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla yao 150. 1 Hawa wote ndio walikuwa wazao wa Benyamini.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sons of Ulam were mighty men of valour, archers, and had many sons, and sons’ sons, an hundred and fifty. All these are of the sons of Benjamin.

In Context

39Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa: 2 Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.

Read all of 1 Chronicles 8

Cross References

2 Chronicles 14:8Asa alikuwa na jeshi la watu 300,000 kutoka Yuda, wenye ngao kubwa na mikuki na jeshi la watu 280,000 kutoka Benyamini, wenye ngao ndogo na pinde. Watu hawa wote walikuwa wapiganaji mashujaa.

Psalms 128:3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao 2 ndani ya nyumba yako; 1 wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni 2 kuizunguka meza yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Chronicles 8:40

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Chronicles 8:391 Chronicles 8