The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 9 › 1 Nyakati 9:14

1 Nyakati 9:14

Jamaa za Walawi walikuwa: 2 Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, wa wana wa Merari.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And of the Levites; Shemaiah the son of Hasshub, the son of Azrikam, the son of Hashabiah, of the sons of Merari;

In Context

13Makuhani waliokuwa viongozi wa jamaa zao walikuwa 1,760. Walikuwa watu wenye uwezo, waliowajibika kuhudumu katika nyumba ya Mungu. 2 Jamaa Za Walawi 1

15Bakbakari, Hereshi, Galali na Matania mwana wa Mika, mwana wa Zikri, mwana wa Asafu.

Read all of 1 Nyakati 9

Cross References

1 Chronicles 6:19Wana wa Merari walikuwa: 2 Mahli na Mushi. 1 Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao: 1

1 Chronicles 6:63Wazao wa Merari, ukoo kwa ukoo walipewa miji kumi na miwili kutoka makabila ya Reubeni, Gadi na Zabuloni.

1 Chronicles 26:1Hii ndiyo migawanyo ya mabawabu: 1 Kutoka kwa wana wa Kora alikuwa: Meshelemia mwana wa Kore, mmoja wa wana wa Asafu. 1

Nehemiah 10:11Mika, Rehobu, Hashabia, 1

Nehemiah 12:23Wakuu wa jamaa miongoni mwa wazao wa Lawi hadi wakati wa Yohanani mwana wa Eliashibu waliandikishwa katika kitabu cha kumbukumbu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 9:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 9:131 Nyakati 91 Nyakati 9:15 →