The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 9 › 1 Nyakati 9:19

1 Nyakati 9:19

Shalumu mwana wa Kore, mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora, pamoja na mabawabu wenzake kutoka jamaa yake ya Kora waliwajibika kulinda malango ya Hema, kama vile baba zao walivyokuwa wamewajibika kulinda ingilio la Maskani ya Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Shallum the son of Kore, the son of Ebiasaph, the son of Korah, and his brethren, of the house of his father, the Korahites, were over the work of the service, keepers of the gates of the tabernacle: and their fathers, being over the host of the LORD, were keepers of the entry.

In Context

18Walikuwa wamewekwa katika lango la mfalme lililokuwa upande wa mashariki, mpaka wakati huu. Hawa walikuwa mabawabu wa kutoka kwenye kambi ya Walawi.

20Hapo zamani Finehasi mwana wa Eleazari alikuwa kiongozi wa mabawabu, naye Bwana alikuwa pamoja naye: 2

Read all of 1 Nyakati 9

Cross References

Numbers 26:11Pamoja na hayo, hao ukoo wa Kora hawakufa.

2 Kings 11:15Kuhani Yehoyada akawaagiza majemadari wa vikosi vya mamia, waliokuwa viongozi wa jeshi, “Mleteni nje kati ya safu, na mkamuue kwa upanga yeyote anayemfuata.” Kwa kuwa kuhani alikuwa amesema, “Hatauawa ndani ya Hekalu la Bwana.”

1 Chronicles 6:22Wazao wa Kohathi: 2 Kohathi akamzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Kora, 2 Kora akamzaa Asiri,

1 Chronicles 26:13Kura zilipigwa kwa kila lango, kufuatana na jamaa zao, wakubwa kwa wadogo.

Psalms 42:1Kama vile ayala aoneavyo shauku vijito vya maji, 2 ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu. 1

Psalms 49:1Sikieni haya, enyi mataifa yote, 2 sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 9:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 9:181 Nyakati 91 Nyakati 9:20 →