The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 26 › Numbers 26:11

Numbers 26:11

Pamoja na hayo, hao ukoo wa Kora hawakufa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Notwithstanding the children of Korah died not.

In Context

10Ardhi ilifunua kinywa chake na kuwameza pamoja na Kora, ambaye wafuasi wake walikufa wakati moto ulipowateketeza wanaume 250. Nao walikuwa kama alama ya onyo.

12Wazao wa Simeoni kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Nemueli, ukoo wa Wanemueli; 1 kutoka kwa Yamini, ukoo wa Wayamini; 1 kutoka wa Yakini, ukoo wa Wayakini; 1

Read all of Numbers 26

Cross References

Exodus 6:24Wana wa Kora walikuwa Asiri, Elikana na Abiasafu. Hawa walikuwa ndio koo za Kora. 1

Numbers 16:33Wakashuka chini kaburini wakiwa hai, pamoja na kila kitu walichokuwa nacho; nchi ikajifunika juu yao, nao wakaangamia wakatoweka kutoka kusanyiko.

1 Chronicles 6:7Merayothi akamzaa Amaria, 2 Amaria akamzaa Ahitubu, 2

1 Chronicles 9:19Shalumu mwana wa Kore, mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora, pamoja na mabawabu wenzake kutoka jamaa yake ya Kora waliwajibika kulinda malango ya Hema, kama vile baba zao walivyokuwa wamewajibika kulinda ingilio la Maskani ya Bwana.

Psalms 44:1Ee Mungu, tumesikia kwa masikio yetu, 2 baba zetu wametueleza 1 yale uliyotenda katika siku zao, 2 siku za kale. 1

Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 26:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 26:10Numbers 26Numbers 26:12 →