1 Nyakati 9:35
Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in Gibeon dwelt the father of Gibeon, Jehiel, whose wife’s name was Maachah:
In Context
36mwanawe mzaliwa wa kwanza alikuwa Abdoni, akafuatiwa na Suri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu,
Cross References
1 Chronicles 2:45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri. 1
1 Chronicles 8:29Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. 2 Mke wake aliitwa Maaka.