1 Chronicles 9:7
Kwa Benyamini walikuwa: 2 Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua; 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And of the sons of Benjamin; Sallu the son of Meshullam, the son of Hodaviah, the son of Hasenuah,
In Context
6Kwa wana wa Zera: 2 Yeueli. 2 Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. 2 Jamaa Za Benyamini 1
Cross References
Nehemiah 8:4Mwandishi Ezra alikuwa amesimama juu ya jukwaa la miti lililojengwa kwa kusudi hilo. Karibu naye upande wa kuume alisimama Matithia, Shema, Anaya, Uria, Hilkia na Maaseya. Upande wake wa kushoto walikuwepo Pedaya, Mishaeli, Malkiya, Hashumu, Hashbadani, Zekaria na Meshulamu.
Nehemiah 11:7Kutoka wazao wa Benyamini: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseya, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya