1 Nyakati 9:6
Kwa wana wa Zera: 2 Yeueli. 2 Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. 2 Jamaa Za Benyamini 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And of the sons of Zerah; Jeuel, and their brethren, six hundred and ninety.
In Context
5Wazao wa Washiloni waliorudi ni: 2 Asaya mzaliwa wa kwanza na wanawe. 1
7Kwa Benyamini walikuwa: 2 Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua; 2
Cross References
Genesis 38:30Kisha ndugu yake, aliyekuwa na uzi mwekundu mkononi, akatoka, naye akaitwa Zera.
Numbers 26:20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; 1 kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; 1 kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 1
1 Chronicles 2:6Wana wa Zera walikuwa: 2 Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Dara. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano. 1