1 Wakorintho 1:14
Namshukuru Mungu kwamba sikumbatiza mtu yeyote miongoni mwenu isipokuwa tu Krispo na Gayo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
I thank God that I baptized none of you, but Crispus and Gaius;
In Context
15Kwa hiyo hakuna awezaye kusema amebatizwa kwa jina langu.
Cross References
Romans 16:23Gayo, mwenyeji wangu, pamoja na kanisa lote linalokutana kwake, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto, wanawasalimu.
1 Corinthians 14:18Namshukuru Mungu kwamba mimi nasema kwa lugha ngeni zaidi kuliko ninyi nyote.
Ephesians 5:20Mshukuruni Mungu Baba daima kwa ajili ya yote, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Colossians 3:17Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, fanyeni vyote kwa jina la Bwana Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake.
1 Timothy 1:12Namshukuru Bwana wetu Yesu Kristo aliyenipa nguvu kwa ajili ya kazi yangu. Namshukuru kwa kuniona mimi kuwa ni mwaminifu, akaniteua nimtumikie,
3 John 1:1Mimi mzee nakuandikia wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli.