1 Wakorintho 11:31
Kama tungejichunguza wenyewe vizuri hatungeadhibiwa hivyo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For if we would judge ourselves, we should not be judged.
In Context
30Ndiyo maana wengi kati yenu ni dhaifu na wagonjwa, na wengine kadhaa wamekufa.
Cross References
1 Corinthians 11:28Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho;
Revelation 2:5Basi, pakumbuke pale ulipokuwa kabla ya kuanguka, ukayaache madhambi yako, na kufanya kama ulivyofanya pale awali. La sivyo, naja kwako na kukiondoa kinara chako mahali pake.