1 Wakorintho 12:11
Hizo zote ni kazi za Roho huyohuyo mmoja, ambaye humpa kila mtu kipaji tofauti, kama apendavyo mwenyewe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But all these worketh that one and the selfsame Spirit, dividing to every man severally as he will.
In Context
Cross References
Matthew 20:15Je, sina haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho kwa kuwa mimi ni mwema?”
John 3:27Yohane akawaambia, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu.
Romans 9:18Ni wazi, basi, kwamba Mungu humhurumia yeyote anayetaka kumhurumia, na akipenda kumfanya mtu awe mkaidi, hufanya hivyo.
1 Corinthians 7:7Ningependa watu wote wawe kama mimi nilivyo; lakini kila mmoja anacho kipaji chake kutoka kwa Mungu; mmoja kipaji hiki na mwingine kile.
1 Corinthians 12:4Vipaji vya kiroho ni vya namna nyingi, lakini Roho avitoaye ni mmoja.