Romans 9:18
Kwa hiyo basi, Mungu humhurumia yeye atakaye kumhurumia na humfanya mgumu yeye atakaye kumfanya mgumu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore hath he mercy on whom he will have mercy, and whom he will he hardeneth.
In Context
Cross References
Exodus 7:13Hata hivyo moyo wa Farao ukawa mgumu, naye hakuwasikiliza Mose na Aroni, sawasawa kama vile Bwana alivyokuwa amesema. 1 Pigo La Kwanza: Damu
Deuteronomy 2:30Lakini Sihoni mfalme wa Heshboni alikataa kuturuhusu kupita. Kwa kuwa Bwana Mungu wako alikuwa ameifanya roho yake kuwa ngumu na moyo wake kuwa mkaidi ili amweke kwenye mikono yenu, kama alivyofanya sasa.
Isaiah 63:17Ee Bwana, kwa nini unatuacha twende mbali na njia zako, 2 na kuifanya mioyo yetu migumu hata hatukukuheshimu? 1 Rudi kwa ajili ya watumishi wako, 2 yale makabila ambayo ni urithi wako. 1
Acts 28:26“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, 1 “Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; 2 na pia mtatazama, lakini hamtaona.” 1
Romans 5:20Zaidi ya hayo, sheria ilikuja, ili uvunjaji wa sheria uongezeke. Lakini dhambi ilipoongezeka, neema iliongezeka zaidi,
Romans 11:7Tuseme nini basi? Kile kitu ambacho Israeli alikitafuta kwa bidii hakukipata. Lakini waliochaguliwa walikipata. Waliobaki walifanywa wagumu,