1 Wakorintho 14:21
Katika Sheria imeandikwa kwamba: 1 “Kupitia kwa watu wenye lugha ngʼeni 2 na kupitia midomo ya wageni, 1 nitasema na watu hawa, 2 lakini hata hivyo hawatanisikiliza,” 4 asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:49Bwana ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka miisho ya dunia, kama tai ashukiavyo mawindo chini, taifa ambalo hutaijua lugha yake,
Jeremiah 5:15Ee nyumba ya Israeli,” asema Bwana, 2 “Ninaleta taifa toka mbali dhidi yako, 1 taifa la kale na linaloendelea kudumu, 2 taifa ambalo lugha yao huijui, 2 wala msemo wao huwezi kuuelewa. 1
Romans 3:19Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.