Romans 3:19
Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18“Hakuna hofu ya Mungu machoni pao.”
Cross References
1 Samuel 2:9Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, 2 lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. 1 “Si kwa nguvu mtu hushinda; 2
Job 9:2“Naam, najua hili ni kweli. 2 Lakini mwanadamu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 1
Ezekiel 16:63Basi, nitakapofanya upatanisho kwa ajili yako, kwa yale yote uliyoyatenda, utakumbuka na kuaibika, nawe kamwe hutafumbua tena kinywa chako kwa sababu ya aibu yako, asema Bwana Mwenyezi.’ ”
John 8:9Waliposikia haya, wakaanza kuondoka mmoja mmoja, wakianzia wazee, hadi Yesu akabaki peke yake na yule mwanamke akiwa amesimama mbele yake.
John 15:25Lakini hii ni kutimiza lile neno lililoandikwa kwenye Sheria kwamba, ‘Walinichukia pasipo sababu.’
Romans 2:1Kwa hiyo huna udhuru wowote, wewe utoaye hukumu kwa mwingine, kwa maana katika jambo lolote unalowahukumu wengine, unajihukumu wewe mwenyewe kwa sababu wewe unayehukumu unafanya mambo hayo hayo.