1 Wakorintho 15:33
Msidanganyike! Urafiki mbaya huharibu tabia njema.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Be not deceived: evil communications corrupt good manners.
In Context
Cross References
Matthew 24:11Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha watu wengi.
1 Corinthians 5:6Majivuno yenu hayafai! Je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge lote la unga?
Galatians 6:7Msidanganyike; Mungu hafanyiwi dhihaka. Alichopanda mtu ndicho atakachovuna.
2 Thessalonians 2:10na kutumia udanganyifu wa kila namna kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea. Hao watapotea kwa sababu hawakuupokea na kuupenda ule ukweli ili waokolewe.