1 Wakorintho 15:35
Lakini mtu anaweza kuuliza: “Wafu watafufuliwaje? Watakuwa na mwili wa namna gani wakati watakapokuja tena?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
But some man will say, How are the dead raised up? and with what body do they come?
In Context
36Hayo ni maswali ya kijinga! Ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota.
Cross References
Matthew 22:29Yesu akawajibu, “Kweli mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu!
John 3:9Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Romans 9:19Labda utaniuliza: “Ikiwa mambo yako hivyo, Mungu anawezaje kumlaumu mtu? Nani awezaye kuyapinga mapenzi yake?”