The Bible Software
bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 15 › 1 Wakorintho 15:36

1 Wakorintho 15:36

Hayo ni maswali ya kijinga! Ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota.

Biblia Takatifu

In The King James Version

Thou fool, that which thou sowest is not quickened, except it die:

In Context

35Lakini mtu anaweza kuuliza: “Wafu watafufuliwaje? Watakuwa na mwili wa namna gani wakati watakapokuja tena?”

37Unachopanda ni mbegu tu, labda ya ngano au nafaka nyingine, na si mmea mzima ambao hutokea baadaye.

Read all of 1 Wakorintho 15

Cross References

Luke 11:40Wapumbavu ninyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia?

Luke 24:25Kisha Yesu akawaambia, “Mbona mu wapumbavu kiasi hicho na mioyo yenu ni mizito hivyo kusadiki yote yaliyonenwa na manabii?

Romans 1:22Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study 1 Wakorintho 15:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← 1 Wakorintho 15:351 Wakorintho 151 Wakorintho 15:37 →