1 Wakorintho 15:4
kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kama ilivyoandikwa;
Biblia Takatifu
In The King James Version
And that he was buried, and that he rose again the third day according to the scriptures:
In Context
5kwamba alimtokea Kefa, na baadaye aliwatokea wale kumi na wawili.
Cross References
Matthew 16:21Tangu wakati huo Yesu alianza kuwajulisha waziwazi wanafunzi wake: “Ni lazima mimi niende Yerusalemu, na huko nikapate mateso mengi yatakayosababishwa na wazee, makuhani wakuu na walimu wa Sheria. Nitauawa, na siku ya tatu nitafufuliwa.”
Matthew 27:57Ilipokuwa jioni, akaja mtu mmoja tajiri mwenyeji wa Armathaya, jina lake Yosefu. Yeye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu.
Matthew 28:1Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya Jumapili, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi.