1 Wakorintho 15:5
kwamba alimtokea Kefa, na baadaye aliwatokea wale kumi na wawili.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And that he was seen of Cephas, then of the twelve:
In Context
4kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kama ilivyoandikwa;
Cross References
Luke 24:34wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.”
John 20:19Ilikuwa jioni ya siku hiyo ya Jumapili. Wanafunzi walikuwa wamekutana pamoja ndani ya nyumba, na milango ilikuwa imefungwa kwa sababu waliwaogopa viongozi wa Wayahudi. Basi, Yesu akaja, akasimama kati yao, akawaambia, “Amani kwenu!”
Acts 10:41si kwa watu wote ila kwa wale Mungu aliokwisha wachagua wawe mashahidi wake, yaani sisi tuliokula na kunywa pamoja naye baada ya kufufuka kwake kutoka wafu.
1 Corinthians 3:22Paulo, Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.