1 Wakorintho 15:51
Sikilizeni, nawaambieni siri: sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa
Biblia Takatifu
In The King James Version
Behold, I shew you a mystery; We shall not all sleep, but we shall all be changed,
In Context
Cross References
1 Corinthians 4:1Mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa Kristo tuliokabidhiwa siri za mungu.
1 Corinthians 15:6Kisha aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado, lakini baadhi yao wamekwisha kufa.
1 Corinthians 15:20Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka wafu, limbuko lao wale waliolala katika kifo.
Ephesians 3:3Mimi nilijulishwa kwa njia ya ufunuo mpango wake uliofichika. (Nimeandika kwa ufupi juu ya jambo hili,