1 Wakorintho 16:23
Neema ya Bwana Yesu iwe nanyi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
The grace of our Lord Jesus Christ be with you.
In Context
22Yeyote asiyempenda Bwana, na alaaniwe. MARANA THA—BWANA, njoo!
24Mapendo yangu yawe kwenu katika kuungana na Kristo Yesu.
Cross References
Romans 16:20Naye Mungu aliye chanzo cha amani hatakawia kumponda Shetani chini ya miguu yenu. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.