The Bible Software
bible.software1 Yohana1 Yohana 1 › 1 Yohana 1:6

1 Yohana 1:6

Kama tukisema kwamba twashirikiana naye huku tukienenda gizani, twasema uongo, wala hatutendi lililo kweli.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If we say that we have fellowship with him, and walk in darkness, we lie, and do not the truth:

In Context

5Huu ndio ujumbe tuliosikia kutoka kwake na kuwatangazia ninyi: kwamba Mungu ni nuru na ndani yake hamna giza lolote.

7Lakini tukienenda nuruni, kama yeye alivyo nuruni, twashirikiana sisi kwa sisi na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.

Read all of 1 Yohana 1

Cross References

Psalms 82:5“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. 2 Wanatembea gizani; 2 misingi yote ya dunia imetikisika. 1

Proverbs 2:13wale waachao mapito yaliyonyooka 2 wakatembea katika njia za giza, 1

Matthew 7:22Wengi wataniambia siku ile, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo wachafu na kufanya miujiza mingi?’

John 8:12Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Mtu yeyote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”

John 11:10Lakini wale watembeao usiku hujikwaa kwa sababu hakuna nuru ndani yao.”

John 12:46Mimi nimekuja kama nuru ulimwenguni, ili kwamba kila mtu aniaminiye asibaki gizani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Yohana 1:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Yohana 1:51 Yohana 11 Yohana 1:7 →