The Bible Software
bible.software1 John1 John 2 › 1 John 2:5

1 John 2:5

Lakini mtu yeyote anayelitii neno lake, upendo wa Mungu umekamilika ndani yake kweli kweli. Katika hili twajua kuwa tumo ndani yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But whoso keepeth his word, in him verily is the love of God perfected: hereby know we that we are in him.

In Context

4Mtu yeyote asemaye kuwa, “Ninamjua,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, wala ndani ya mtu huyo hamna kweli.

6Yeyote anayesema anakaa ndani yake hana budi kuenenda kama Yesu alivyoenenda. 1 Amri Mpya

Read all of 1 John 2

Cross References

Psalms 106:3Heri wale wanaodumisha haki, 2 ambao daima wanafanya yaliyo mema. 1

Psalms 119:4Umetoa maagizo yako 2 ili tuyatii kwa ukamilifu. 1

Proverbs 8:32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; 2 heri wale wanaozishika njia zangu. 1

Ecclesiastes 8:5Yeyote anayetii agizo lake hatadhurika, 2 moyo wa hekima utajua wakati muafaka 2 na jinsi ya kutenda. 1

Luke 11:28Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” 1 Ishara Ya Yona (Mathayo 12:38-42)

John 14:21Yeyote mwenye amri zangu na kuzishika ndiye anipendaye, naye anipendaye atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 John 2:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 John 2:41 John 21 John 2:6 →