1 John 3:13
Ndugu zangu, ninyi msistaajabu kama ulimwengu ukiwachukia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Marvel not, my brethren, if the world hate you.
In Context
Cross References
Matthew 10:22Watu wote watawachukia kwa ajili ya Jina langu. Lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Mark 13:13Watu wote watawachukia kwa ajili ya Jina langu. Lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa. 1 Chukizo La Uharibifu (Mathayo 24:15-28; Luka 21:20-24)
Luke 21:17Mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya Jina langu.
John 7:7Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninawashuhudia kwamba matendo yao ni maovu.
John 16:2Watawatenga na masinagogi. Naam, saa yaja ambayo mtu yeyote atakayewaua atadhani kwa kufanya hivyo anamtumikia Mungu.
John 17:14Nimewapa neno lako, nao ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao si wa ulimwengu kama mimi nisivyo wa ulimwengu huu.