John 17:14
Nimewapa neno lako, nao ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao si wa ulimwengu kama mimi nisivyo wa ulimwengu huu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu.
Cross References
Proverbs 29:27Mwenye haki huwachukia sana wasio waaminifu; 2 waovu huwachukia sana wenye haki.
Matthew 10:24“Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake, wala mtumishi hamzidi bwana wake.
John 7:7Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninawashuhudia kwamba matendo yao ni maovu.
John 15:18“Kama ulimwengu ukiwachukia ninyi, kumbukeni kwamba ulinichukia mimi kabla yenu.
1 Peter 4:4Wao hushangaa kwamba ninyi hamjiingizi pamoja nao katika huo wingi wa maisha ya ufisadi, nao huwatukana ninyi.
1 John 4:5Wao wanatokana na ulimwengu na kwa hiyo hunena yaliyo ya ulimwengu, hivyo ulimwengu huwasikiliza.