1 John 4:16
Hivyo nasi twajua na kulitumainia pendo la Mungu alilo nalo kwa ajili yetu. Mungu ni Upendo. Kila akaaye katika upendo hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Kila akiriye kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu, basi Mungu hukaa ndani yake, naye ndani ya Mungu.
Cross References
Psalms 18:1Nakupenda wewe, Ee Bwana, 2 nguvu yangu. 1
Psalms 36:7Upendo wako usiokoma 2 ni wa thamani mno! 1 Watu wakuu na wadogo 2 hujificha uvulini wa mbawa zako. 1
John 6:69Tunaamini na kujua kuwa wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu.”
1 John 3:1Tazameni ni pendo kuu namna gani alilotupa Baba, kwamba sisi tuitwe wana wa Mungu! Na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.
1 John 3:24Wale wote wanaozishika amri zake hukaa ndani yake na yeye ndani yao. Hivi ndivyo tunavyojua kwamba anakaa ndani yetu. Nasi twajua hili kwa njia ya Roho yule aliyetupa.
1 John 4:12Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote. Lakini tukipendana, Mungu anakaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.