1 John 4:9
Hivi ndivyo Mungu alivyoonyesha pendo lake kwetu: Mungu alimtuma Mwanawe wa pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kupitia kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni pendo.
Cross References
Psalms 2:7Nitatangaza amri ya Bwana: 2 Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, 2 leo mimi nimekuzaa. 1
Luke 4:18“Roho wa Bwana yu juu yangu, 2 kwa sababu amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwatangazia wafungwa 2 kufunguliwa kwao, 2 na vipofu kupata kuona tena, 1 kuwaweka huru wanaoonewa, 2
John 3:16“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
John 5:23ili wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Yeyote asiyemheshimu Mwana, hamheshimu Baba aliyemtuma.
John 6:51Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbinguni. Mtu yeyote akiula mkate huu, ataishi milele. Mkate huu ni mwili wangu, ambao nitautoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.”
John 8:29Yeye aliyenituma yu pamoja nami, hajaniacha, kwa kuwa siku zote nafanya mapenzi yake.’ ”