1 John 4:8
Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni pendo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that loveth not knoweth not God; for God is love.
In Context
Cross References
Psalms 86:5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, 2 umejaa upendo kwa wote wakuitao. 1
John 8:54Yesu akawajibu, “Kama nikijitukuza utukufu wangu hauna maana. Baba yangu, huyo ambaye ninyi mnadai kuwa ni Mungu wenu, ndiye anitukuzaye mimi.
Ephesians 2:4Lakini Mungu kwa upendo wake mwingi kwetu sisi, ambaye ni mwingi wa rehema,
1 John 1:5Huu ndio ujumbe tuliosikia kutoka kwake na kuwatangazia ninyi: kwamba Mungu ni nuru na ndani yake hamna giza lolote.
1 John 2:9Yeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani.
1 John 4:7Wapendwa, tupendane, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.