1 Yohana 5:14
Huu ndio ujasiri tulio nao tunapomkaribia Mungu, kwamba kama tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 31:22Katika hofu yangu nilisema, 2 “Nimekatiliwa mbali na macho yako!” 1 Hata hivyo ulisikia kilio changu 2 ukanihurumia nilipokuita unisaidie. 1
Psalms 69:33Bwana huwasikia wahitaji 2 wala hadharau watu wake waliotekwa. 1
Jeremiah 29:12Kisha mtaniita, na mtakuja na kuniomba, nami nitawasikiliza.
Matthew 7:7“Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.
John 9:31Tunajua ya kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini huwasikiliza wote wanaomcha na kumtii.
John 14:13Nanyi mkiomba lolote kwa Jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba apate kutukuzwa katika Mwana.