1 John 5:3
Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani, kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For this is the love of God, that we keep his commandments: and his commandments are not grievous.
In Context
2Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu, kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake.
Cross References
Deuteronomy 5:10lakini ninaonyesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanipendao na kuzishika amri zangu. 1
Deuteronomy 10:12Na sasa, ee Israeli, Bwana Mungu wako anataka nini kwako ila kumcha Bwana Mungu wako, kwenda katika njia zake, kumpenda na kumtumikia Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote,
Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1
Psalms 119:47kwa kuwa ninazifurahia amri zako 2 kwa sababu ninazipenda. 1
Psalms 119:127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, 2 naam, zaidi ya dhahabu safi, 1
Proverbs 3:17Njia zake zinapendeza, 2 mapito yake yote ni amani. 1