1 John 5:2
Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu, kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By this we know that we love the children of God, when we love God, and keep his commandments.
In Context
3Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani, kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito.
Cross References
John 13:34“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane.
1 John 2:5Lakini mtu yeyote anayelitii neno lake, upendo wa Mungu umekamilika ndani yake kweli kweli. Katika hili twajua kuwa tumo ndani yake.
1 John 4:21Naye ametupa amri hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake.