1 Wafalme 13:28
Kisha akatoka akaenda akakuta maiti imebwagwa chini barabarani, punda na simba wakiwa wamesimama kando yake. Simba hakuwa amekula ile maiti wala kumrarua punda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Nabii akawaambia wanawe, “Nitandikieni punda,” nao wakafanya hivyo.
Cross References
Leviticus 10:5Hivyo wakaja na kuwaondoa, wakiwa bado wamevalia makoti yao ya ibada, wakawapeleka nje ya kambi, kama Mose alivyoamuru.
1 Kings 17:6Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi na mkate na nyama jioni, naye akanywa maji kutoka kile kijito. 1 Mjane Wa Sarepta
Psalms 148:7Mtukuzeni Bwana kutoka duniani, 2 ninyi viumbe vikubwa vya baharini na vilindi vyote vya bahari, 1
Daniel 3:22Amri ya mfalme ilikuwa ya haraka sana na tanuru ilikuwa na moto mkali kiasi kwamba miali ya moto iliwaua wale askari waliowapeleka Shadraki, Meshaki na Abednego.
Daniel 6:22Mungu wangu alimtuma malaika wake, naye akafunga vinywa vya hawa simba. Hawajanidhuru, kwa sababu nilionekana sina hatia mbele zake. Wala kamwe sijafanya jambo lolote baya mbele yako, ee mfalme.”
Hebrews 11:33ambao kwa imani walishinda milki za wafalme, walitekeleza haki, na wakapokea ahadi za Mungu; walifunga vinywa vya simba,