1 Wafalme 21:1
Baada ya hayo, Nabothi, Myezreeli, alikuwa na shamba la mizabibu jirani na jumba la kifalme la Ahabu mfalme wa Samaria.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 19:18Eneo lao lilijumuisha: 1 Yezreeli, Kesulothi, Shunemu,
1 Samuel 29:1Wafilisti wakakusanya majeshi yao yote huko Afeki, nao Waisraeli wakapiga kambi karibu na chemchemi iliyoko Yezreeli.
1 Kings 20:35Kwa neno la Bwana, mmoja wa wana wa manabii akamwambia mwenzake, “Nipige kwa silaha yako,” lakini yule mtu akakataa.
Ezra 9:13“Yale yaliyotupata ni matokeo ya matendo yetu mabaya, pia hatia yetu kubwa. Hata hivyo, wewe Mungu wetu, umetuadhibu kidogo kuliko dhambi zetu zilivyostahili na umetupa mabaki kama haya.
Jeremiah 5:3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1