Yeremia 5:3
Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama Bwana aishivyo,’ 2 bado wanaapa kwa uongo.” 1
Cross References
Leviticus 26:23“ ‘Ikiwa pamoja na mambo haya hamtakubali maonyo yangu lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
2 Chronicles 16:9Kwa kuwa macho ya Bwana hukimbiakimbia duniani kote ili kujionyesha mwenye nguvu kwa ajili ya wale ambao mioyo yao inamtegemea kwa ukamilifu. Umefanya jambo la upumbavu na kuanzia sasa na kuendelea utakuwa na vita.”
Psalms 11:4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1
Psalms 51:8Unipe kusikia furaha na shangwe, 2 mifupa uliyoiponda na ifurahi. 1
Proverbs 21:29Mtu mwovu ana uso wa ushupavu, 2 bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake. 1
Proverbs 23:35Utasema, “Wamenipiga lakini sikuumia! 2 Wamenichapa, lakini sisikii! 1 Nitaamka lini 2 ili nikanywe tena?”