The Bible Software
bible.software1 Kings1 Kings 21 › 1 Kings 21:12

1 Kings 21:12

Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They proclaimed a fast, and set Naboth on high among the people.

In Context

11Hivyo wazee na watu wenye cheo walioishi katika mji wa Nabothi wakafanya kama Yezebeli alivyoelekeza katika barua aliyowaandikia.

13Kisha watu wawili wabaya kabisa wakaja wakaketi mkabala naye, nao wakaleta mashtaka dhidi ya Nabothi mbele ya watu, wakisema, “Nabothi amemlaani Mungu na mfalme.” Kwa hiyo wakamtoa nje na kumpiga kwa mawe hadi akafa.

Read all of 1 Kings 21

Cross References

Isaiah 58:4Kufunga kwenu huishia kwenye magomvi na mapigano, 2 na kupigana ninyi kwa ninyi kwa ngumi za uovu. 1 Hamwezi kufunga kama mnavyofanya leo 2 na kutazamia sauti zenu kusikiwa huko juu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Kings 21:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Kings 21:111 Kings 211 Kings 21:13 →