The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 58 › Isaya 58:4

Isaya 58:4

Kufunga kwenu huishia kwenye magomvi na mapigano, 2 na kupigana ninyi kwa ninyi kwa ngumi za uovu. 1 Hamwezi kufunga kama mnavyofanya leo 2 na kutazamia sauti zenu kusikiwa huko juu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, ye fast for strife and debate, and to smite with the fist of wickedness: ye shall not fast as ye do this day, to make your voice to be heard on high.

In Context

3Wao husema, ‘Mbona tumefunga, nawe hujaona? 2 Mbona tumejinyenyekeza, nawe huangalii?’ 1 “Lakini katika siku ya kufunga kwenu, mnafanya mnavyotaka 2 na kuwadhulumu wafanyakazi wenu wote. 1

5Je, hii ndiyo aina ya mfungo niliouchagua, 2 siku moja tu ya mtu kujinyenyekeza? 1 Je, ni kwa kuinamisha kichwa chini kama tete, 2 na kwa kujilaza juu ya nguo ya gunia na majivu? 1 Je, huo ndio mnaouita mfungo, 2 siku iliyokubalika kwa Bwana? 1

Read all of Isaya 58

Cross References

Proverbs 21:27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, 2 si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 1

Isaiah 59:6Utando wao wa buibui haufai kwa nguo; 2 hawawezi kujifunika kwa kile walichokitengeneza. 1 Matendo yao ni matendo maovu, 2 vitendo vya jeuri vipo mikononi mwao. 1

Jonah 3:7Ndipo akatoa tangazo katika Ninawi yote: “Kwa amri ya mfalme na wakuu wake: “Msiruhusu mtu yeyote au mnyama, makundi ya ngʼombe au wanyama wengine wafugwao, kuonja kitu chochote, msiwaruhusu kula wala kunywa.

Matthew 23:13“Lakini ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Kwa maana mnawafungia watu milango ya Ufalme wa Mbinguni. Ninyi wenyewe hamuingii humo, nao wale wanaotaka kuingia mnawazuia. [

John 18:28Ndipo Wayahudi wakamchukua Yesu kutoka kwa Kayafa na kumpeleka kwenye jumba la kifalme la mtawala wa Kirumi. + 18:28 Jumba la mfalme la mtawala wa Kirumi lilikuwa linaitwa Praitorio. Wakati huo ilikuwa ni alfajiri, ili kuepuka kuwa najisi kwa taratibu za ibada, Wayahudi hawakuingia ndani kwa sababu ya sheria za Kiyahudi. Wangehesabiwa kuwa najisi kama wangeingia nyumbani mwa mtu asiye Myahudi na wasingeruhusiwa kushiriki katika Sikukuu ya Pasaka.

Philippians 1:14Kwa sababu ya vifungo vyangu, ndugu wengi katika Bwana wametiwa moyo kuhubiri neno la Mungu kwa ujasiri zaidi na bila woga.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 58:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 58:3Isaya 58Isaya 58:5 →