1 Kings 21:4
Basi Ahabu akaenda nyumbani, mwenye huzuni na hasira kwa sababu ya yale ambayo Nabothi, Myezreeli, alikuwa amesema, “Sitakupa urithi wa baba zangu.” Akajinyoosha juu ya kitanda akisononeka, na akakataa kula.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Lakini Nabothi akamjibu, “ Bwana na apishe mbali kukupa wewe urithi wa baba zangu.”
5Yezebeli mke wake akaingia na akamuuliza, “Kwa nini unahuzunika hivi? Kwa nini huli chakula?”
Cross References
Numbers 22:13Asubuhi iliyofuata Balaamu akaamka, akawaambia wakuu wa Balaki, “Rudini katika nchi yenu, kwa kuwa Bwana amenikataza nisiende pamoja nanyi.”
2 Samuel 13:4Akamuuliza Amnoni, “Wewe ni mtoto wa mfalme; kwa nini siku baada ya siku unaonekana kukonda? Hutaniambia?” Amnoni akamwambia, “Ninampenda Tamari, dada yake Absalomu ndugu yangu.”
1 Kings 21:3Lakini Nabothi akamjibu, “ Bwana na apishe mbali kukupa wewe urithi wa baba zangu.”
Job 5:2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, 2 nao wivu humchinja mjinga. 1
Ecclesiastes 7:8Mwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake, 2 uvumilivu ni bora kuliko kiburi. 1
Jonah 4:1Lakini Yona alichukizwa sana akakasirika.