Mhubiri 7:8
Mwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake, 2 uvumilivu ni bora kuliko kiburi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Dhuluma humfanya mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu, 2 nayo rushwa huuharibu moyo. 1
9Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, 2 kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. 1
Cross References
Proverbs 13:10Kiburi huzalisha magomvi tu, 2 bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri. 1
Proverbs 15:18Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi, 2 bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi. 1
Proverbs 28:25Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, 2 bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa. 1
Isaiah 10:28Wanaingia Ayathi, 2 wanapita katikati ya Migroni, 2 wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 1
Luke 21:19Kwa kuvumilia mtaokoa roho zenu. 1 Kuharibiwa Kwa Yerusalemu Kwatabiriwa (Mathayo 24:15-21; Marko 13:14-19)
Galatians 5:22Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,