The Bible Software
bible.software › 1 Wafalme › 1 Wafalme 8 › 1 Wafalme 8:13

1 Wafalme 8:13

naam, hakika nimekujengea Hekalu zuri sana, mahali pako pa kuishi milele.” 1 Hotuba Ya Solomoni (2 Nyakati 6:3-11)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I have surely built thee an house to dwell in, a settled place for thee to abide in for ever.

In Context

12Ndipo Solomoni akasema, “ Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene;

14Kusanyiko lote la Israeli lilipokuwa limesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki.

Read all of 1 Wafalme 8

Cross References

Exodus 15:17Utawaingiza na kuwapandikiza 2 juu ya mlima wa urithi wako: 1 hapo mahali, Ee Bwana, ulipopafanya kuwa makao yako, 2 mahali patakatifu, Ee Bwana, ulipopajenga kwa mikono yako. 1

1 Chronicles 17:12Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili yangu, nami nitakifanya imara kiti cha ufalme wake milele.

1 Chronicles 28:6Aliniambia, ‘Solomoni mwanao ndiye atakayejenga nyumba yangu na nyua zangu, kwa maana nimemchagua yeye kuwa mwanangu, nami nitakuwa baba yake.

1 Chronicles 28:20Daudi pia akamwambia Solomoni mwanawe, “Uwe hodari na moyo mkuu, ukafanye kazi hii. Usiogope wala usifadhaike, kwa maana Bwana aliye Mungu, Mungu wangu yu pamoja nawe. Hatakuacha wala hatakupungukia mpaka kazi hii yote kwa ajili ya utumishi wa Hekalu la Bwana itakapokamilika.

Psalms 78:68lakini alilichagua kabila la Yuda, 2 Mlima Sayuni, ambao aliupenda. 1

Psalms 132:14“Hapa ni mahali pangu pa kupumzika milele na milele; 2 hapa ndipo nitakapoketi nikitawala, kwa sababu nimepaonea shauku: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Wafalme 8:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Wafalme 8:121 Wafalme 81 Wafalme 8:14 →