Kutoka 15:17
Utawaingiza na kuwapandikiza 2 juu ya mlima wa urithi wako: 1 hapo mahali, Ee Bwana, ulipopafanya kuwa makao yako, 2 mahali patakatifu, Ee Bwana, ulipopajenga kwa mikono yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Bwana atatawala 2 milele na milele.”
Cross References
Joshua 22:19Kama nchi mnayomiliki imenajisika, vukeni mje katika nchi ya Bwana, mahali Maskani ya Bwana ilipo, nanyi mkajitwalie sehemu miongoni mwetu, lakini msije mkaasi dhidi ya Bwana wala dhidi yetu sisi kwa kujijengea madhabahu, zaidi ya madhabahu ya Bwana Mungu wetu.
Psalms 78:54Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, 2 hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa. 1
Psalms 80:8Ulileta mzabibu kutoka Misri, 2 ukawafukuza mataifa, ukaupanda. 1
Isaiah 5:1Nitaimba wimbo kwa ajili ya mmoja nimpendaye, 2 kuhusu shamba lake la mizabibu: 1 Mpendwa wangu alikuwa na shamba la mizabibu 2 kwenye kilima chenye rutuba. 1
Jeremiah 31:23Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo, “Nitakapowarudisha toka nchi ya kutekwa kwenu, watu walio katika nchi ya Yuda na miji yake kwa mara nyingine tena watatumia maneno haya: ‘ Bwana akubariki, ee makao ya haki, ee mlima mtakatifu.’
Ezekiel 37:26Nitafanya nao Agano la amani, litakuwa Agano la milele. Nitawafanya imara na kuongeza idadi yao, nami nitaweka mahali patakatifu pangu miongoni mwao milele.