1 Peter 2:19
Kwa maana ni jambo la sifa kama mtu akivumilia anapoteswa kwa uonevu kwa ajili ya Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For this is thankworthy, if a man for conscience toward God endure grief, suffering wrongfully.
In Context
Cross References
Psalms 35:19Usiwaache wale wanaonisimanga, 2 wale ambao ni adui zangu bila sababu; 1 usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu 2 wakonyeze jicho kwa hila. 1
Psalms 69:4Wale wanaonichukia bila sababu 2 ni wengi kuliko nywele za kichwa changu; 1 wengi ni adui kwangu bila sababu, 2 wale wanaotafuta kuniangamiza. 1 Ninalazimishwa kurudisha 2 kitu ambacho sikuiba. 1
Matthew 5:10Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.
John 15:21Watawatendea ninyi haya yote kwa ajili ya Jina langu, kwa sababu hawamjui yeye aliyenituma.
Romans 13:5Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu iwezayo kutolewa, bali pia kwa ajili ya dhamiri.
2 Corinthians 1:12Basi haya ndiyo majivuno yetu: Dhamiri yetu inatushuhudia kwamba tumeenenda katika ulimwengu na hasa katika uhusiano wetu na ninyi, katika utakatifu na uaminifu utokao kwa Mungu. Hatukufanya hivyo kwa hekima ya kidunia bali kwa neema ya Mungu.