Matthew 5:10
Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed are they which are persecuted for righteousness sake: for theirs is the kingdom of heaven.
In Context
9Heri walio wapatanishi, 2 maana hao wataitwa wana wa Mungu. 1
Cross References
Matthew 5:3“Heri walio maskini wa roho, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 1
Matthew 25:34“Ndipo Mfalme atawaambia wale walioko upande wake wa kuume, ‘Njooni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu; urithini Ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Luke 6:20Akawatazama wanafunzi wake, akasema: 1 “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, 2 kwa sababu Ufalme wa Mungu ni wenu. 1
Luke 21:12“Lakini kabla yote hayajatokea, watawakamata ninyi na kuwatesa. Watawatia mikononi mwa wakuu wa masinagogi na kuwafunga magerezani. Nanyi mtapelekwa mbele ya wafalme na watawala kwa ajili ya Jina langu.
Acts 5:40Wakapokea ushauri wa Gamalieli. Wakawaita mitume ndani, wakaamuru wachapwe mijeledi, kisha wakawaagiza wasinene tena kwa jina la Yesu, wakawaachia waende zao.
Romans 8:35Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je, ni shida au taabu au mateso au njaa au uchi au hatari au upanga?