1 Peter 2:8
tena, 1 “Jiwe lenye kuwafanya watu wajikwae, 2 na mwamba wa kuwaangusha.” Wanajikwaa kwa sababu hawakulitii lile neno, kama walivyowekewa tangu zamani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 23:14Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, 2 na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba. 1
Isaiah 57:14Tena itasemwa: 1 “Jengeni, jengeni, itengenezeni njia! 2 Ondoeni vikwazo katika njia ya watu wangu.” 1
Romans 9:22Iweje basi, kama Mungu kwa kutaka kuonyesha ghadhabu yake na kufanya uweza wake ujulikane, amevumilia kwa uvumilivu mwingi vile vyombo vya ghadhabu vilivyoandaliwa kwa uharibifu?
1 Corinthians 1:23Lakini sisi tunamhubiri Kristo aliyesulubiwa: yeye kwa Wayahudi ni kikwazo na kwa Wayunani ni upuzi.
1 Thessalonians 5:9Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
2 Peter 2:3Nao katika tamaa zao mbaya, walimu hawa watajipatia faida kwenu kwa hadithi walizotunga wenyewe. Lakini hukumu imekwisha kutangazwa dhidi yao tangu zamani, wala uangamivu wao haujalala usingizi.