1 Peter 2:7
Kwenu ninyi mnaoamini, jiwe hili ni la thamani. Lakini kwao wasioamini, 1 “Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni,”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Song of Solomon 5:9Je, mpendwa wako ni bora kuliko wengine namna gani, 2 wewe uliye mzuri kupita wanawake wote? 1 Je, mpendwa wako ni mzuri kuliko wengine, namna gani, 2 hata unatuagiza hivyo? Mpendwa 1
Haggai 2:7Nitatikisa mataifa yote, nacho kile kinachotamaniwa na mataifa yote kitakuja, nami nitaujaza utukufu katika nyumba hii,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Matthew 13:44“Ufalme wa Mbinguni unafanana na hazina iliyofichwa shambani, ambayo mtu mmoja alipoiona akaificha tena. Kisha katika furaha yake, akaenda akauza vyote alivyokuwa navyo, akalinunua lile shamba.”
Mark 12:10Je, hamjasoma Andiko hili: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni; 1
Luke 20:17Lakini Yesu akawakazia macho, akasema, “Basi ni nini maana ya yale yaliyoandikwa: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi, 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni’?
John 6:68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.