1 Petro 3:10
Kwa maana, 1 “Yeyote apendaye uzima 2 na kuona siku njema, 1 basi auzuie ulimi wake usinene mabaya, 2 na midomo yake isiseme hila. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; 2 lazima aitafute amani na kuifuatilia sana. 1
Cross References
Job 2:4Shetani akamjibu Bwana, “Ngozi kwa ngozi! Mwanadamu atatoa vyote alivyo navyo kwa ajili ya uhai wake.
Job 9:25“Siku zangu zapita mbio kuliko mkimbiaji; 2 zinapita upesi bila kuona furaha hata kidogo. 1
Psalms 27:13Nami bado nina tumaini hili: 2 nitauona wema wa Bwana 2 katika nchi ya walio hai. 1
Psalms 49:19atajiunga na kizazi cha baba zake, 2 ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 1
Proverbs 3:2kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako 2 na kukuletea mafanikio. 1
Proverbs 4:22kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata 2 na afya kwa mwili wote wa mwanadamu. 1