The Bible Software
bible.software1 Petro1 Petro 3 › 1 Petro 3:11

1 Petro 3:11

Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; 2 lazima aitafute amani na kuifuatilia sana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let him eschew evil, and do good; let him seek peace, and ensue it.

In Context

10Kwa maana, 1 “Yeyote apendaye uzima 2 na kuona siku njema, 1 basi auzuie ulimi wake usinene mabaya, 2 na midomo yake isiseme hila. 1

12Kwa maana macho ya Bwana 2 huwaelekea wenye haki, 1 na masikio yake yako makini 2 kusikiliza maombi yao. 1 Bali uso wa Bwana uko kinyume 2 na watendao maovu.” 1 Kuvumilia Mateso

Read all of 1 Petro 3

Cross References

Job 1:1Katika nchi ya Usi paliishi mtu ambaye aliitwa Ayubu. Mtu huyu alikuwa hana hatia, naye alikuwa mkamilifu; alimcha Mungu na kuepukana na uovu.

Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”

Psalms 37:27Acha ubaya na utende wema, 2 nawe utaishi katika nchi milele. 1

Psalms 125:4Ee Bwana, watendee mema walio wema, 2 wale walio wanyofu wa moyo. 1

Proverbs 16:6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; 2 kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. 1

Isaiah 1:16jiosheni na mkajitakase. 1 Yaondoeni matendo yenu maovu 2 mbele zangu! 1 Acheni kutenda mabaya, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Petro 3:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Petro 3:101 Petro 31 Petro 3:12 →