1 Petro 3:14
Lakini mmebarikiwa hata kama ikiwalazimu kuteseka kwa ajili ya haki. “Msiogope vitisho vyao, wala msiwe na wasiwasi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?
Cross References
Isaiah 41:10Hivyo usiogope, kwa maana niko pamoja nawe; 2 usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako. 1 Nitakutia nguvu na kukusaidia; 2 nitakutegemeza kwa mkono wa kuume wa haki yangu. 1
Jeremiah 1:8Usiwaogope, kwa maana niko pamoja nawe nikuokoe,” asema Bwana.
Ezekiel 3:9Kama vile almasi ilivyo ngumu kuliko gumegume, ndivyo nilivyokifanya kipaji cha uso wako. Usiwaogope wala usiwahofu, ijapokuwa ni nyumba ya kuasi.”
Matthew 10:18Nanyi mtaburutwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, ili kuwa ushuhuda kwao na kwa watu wa Mataifa.
Matthew 10:31Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.
Matthew 16:25Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayapata.