The Bible Software
bible.software1 Peter1 Peter 3 › 1 Peter 3:13

1 Peter 3:13

Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And who is he that will harm you, if ye be followers of that which is good?

In Context

12Kwa maana macho ya Bwana 2 huwaelekea wenye haki, 1 na masikio yake yako makini 2 kusikiliza maombi yao. 1 Bali uso wa Bwana uko kinyume 2 na watendao maovu.” 1 Kuvumilia Mateso

14Lakini mmebarikiwa hata kama ikiwalazimu kuteseka kwa ajili ya haki. “Msiogope vitisho vyao, wala msiwe na wasiwasi.”

Read all of 1 Peter 3

Cross References

Proverbs 15:9Bwana huchukia sana njia ya waovu, 2 bali huwapenda wale wafuatao haki. 1

Romans 8:28Nasi tunajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hutenda kazi pamoja na wote wampendao, katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.

1 Corinthians 14:1Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii.

1 Thessalonians 5:15Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.

3 John 1:11Rafiki mpendwa, usiige lile lililo baya bali lile lililo jema. Yeyote atendaye mema atoka kwa Mungu, bali atendaye mabaya hajamwona Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Peter 3:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Peter 3:121 Peter 31 Peter 3:14 →