1 Petro 4:19
Kwa hiyo, wale wanaoteswa kulingana na mapenzi ya Mungu, wajikabidhi kwa Muumba wao aliye mwaminifu, huku wakizidi kutenda mema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 31:5Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, 2 unikomboe Ee Bwana, uliye Mungu wa kweli. 1
Psalms 138:8Bwana atatimiza kusudi lake kwangu, 2 Ee Bwana, upendo wako wadumu milele: 2 usiziache kazi za mikono yako.
Isaiah 40:27Kwa nini unasema, ee Yakobo, 2 nanyi ee Israeli, kulalamika, 1 “Njia yangu imefichwa Bwana asiione, 2 Mungu wangu hajali shauri langu?” 1
Isaiah 43:21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1
Isaiah 54:16“Tazama, ni mimi niliyemuumba mhunzi, 2 yeye afukutaye makaa kuwa moto, 2 na kutengeneza silaha inayofaa kwa kazi yake. 1 Tena ni mimi niliyemwambia mharabu 2 kufanya uharibifu mwingi. 1
Daniel 3:16Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kujitetea mbele zako kuhusu jambo hili.