1 Petro 4:18
Basi, 1 “Ikiwa ni vigumu kwa mwenye haki kuokoka, 2 itakuwaje kwa mtu asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if the righteous scarcely be saved, where shall the ungodly and the sinner appear?
In Context
Cross References
Genesis 13:13Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakifanya sana dhambi dhidi ya Bwana.
Psalms 1:4Sivyo walivyo waovu! 2 Wao ni kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo. 1
Jeremiah 25:29Tazama, nimeanza kuleta maafa juu ya mji ulio na Jina langu, na je, kweli ninyi mtaepuka kuadhibiwa? Hamwezi kuepuka kuadhibiwa, kwa maana nitaleta vita juu ya wote waishio duniani, asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.’
Zechariah 13:9Hii theluthi moja nitaileta katika moto; 2 nitawasafisha kama fedha isafishwavyo 2 na kuwajaribu kama dhahabu. 1 Wataliitia Jina langu 2 nami nitawajibu; 1 nitasema, ‘Hawa ni watu wangu,’ 2 nao watasema, ‘ Bwana ni Mungu wetu.’ ”
Mark 13:20Kama Bwana asingelifupisha siku hizo, kamwe asingeliokoka mtu yeyote. Lakini kwa ajili ya wateule, wale aliowachagua, amezifupisha siku hizo.
Luke 23:31Kwa maana kama wamefanya hivi kwa mti mbichi, kwa mti mkavu itakuwaje?”