1 Peter 5:13
Kanisa lililoko Babeli, lililochaguliwa pamoja nanyi, wanawasalimu; vivyo hivyo mwanangu Marko anawasalimu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The church that is at Babylon, elected together with you, saluteth you; and so doth Marcus my son.
In Context
14Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.
Cross References
Acts 12:12Mara Petro alipotambua hili alikwenda nyumbani kwa Maria, mama yake Yohana aliyeitwa pia Marko, ambako watu wengi walikuwa wamekutana kwa maombi.
2 John 1:13Watoto wa dada yako mteule wanakusalimu. Amen.
Revelation 18:2Naye akalia kwa nguvu kwa sauti kubwa, akisema: 1 “Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu! 2 Umekuwa makao ya mashetani 1 na makazi ya kila pepo mchafu, 2 makazi ya kila ndege na kila mnyama achukizaye. 1